mashabi wake na mashabiki wa soka la Tanzania
kuingia bure kwenye mchezo wao wa kombe la
shirikisho Afrika dhidi ya TP Mazembe miamba ya
soka la DR Congo mchezo unaotarajiwa kuchezwa
Jumanne June 28 kwenye uwanja wa taifa.
Taarifa iliyotolewa na afisa habari wa klabu ya
Yanga Jerry Cornel Muro inazomeka hivi: “Mechi
ya Yanga na TP Mazembe Jumanne 28-06-2016,
mashabiki wote wanaruhusiwa kuingia uwanjani
BURE bila ya kiingilio, lengo likiwa ni
kuwahakikishia WATANZANIA wanapata nafasi ya
kui-support timu yao ya Yanga.”
Chapisha Maoni