0
Paris Saint-Germain ambao ni mabingwa
wa ligi kuu ya Ufaransa wamekamikisha
usajili wa winga wa kimataifa wa Ufaransa
Hatem Ben Arfa.
Ben Arfa mwenye miaka 29 ambaye
alionekana hafai wakati akiichezea
Newcastle United na kufungashiwa virago
ameonekana lulu akiwa katika klabu ya
Nice mpaka kupelekea kukuwaniwa na
vilabu kadhaa ikiwemo Barcelona.
Mkataba wake na Nice ulikua umekamilika
na amejiunga na PSG kama mchezaji huru
akifunga magoli 17 na kutoa assist 6 katika
ligi kuu ya Ufaransa.







Goal.com

Chapisha Maoni

 
Top