kuwa ili aweze kujiunga na klabu ya
Westham ni lazima wamlipe paundi
250,000 kwa wiki.
Carlos Tevez
Ilikuwa kwamba kabla ya kauli hiyo ya
staa huyo mwenye umri wa miaka 32,
awali Westham walipanga kumpa paundi
150,000 kwa wiki, kiasi ambacho nyota
huyo amekitolea nje.
Chapisha Maoni