Meneja wa Manchester City Pep Guardiola,
hatakuwa na tatizo lolote kumsalamia kwa mkono
meneja wa Man U Jose Mourinho, wakat wa mechi
kati ya vilabu hivyo mjini Beijing.
Mechi hiyo itakuwa ya pili kati yao tangu wote
waache kufunza vilabu vya Barcelona na Real
Madrid mwaka 2012.
Wote wamekana tofauti zoa na Guardiola anasme
kuwa atamsalamia kwa mkono kama njia ya
urafiki.
Wakati Mourinho naye aliulizwa kuhusu suala hilo,
pia alisema kuwa atamsalamia Guardiola kwa
mkono.
"Nilifanya kazi naye kwa miaka mitatu huko
Barcelona, Tumesimamia tofauti, uhusiano kati
yetu ni wa kawaida, alisema Mourinho.
Posted Africa News Sports
Chapisha Maoni