Lionel Messi katakana na kukwepa kodi
nchini Hispania kimekuwa gumzo.
Lakini habari njema kwa mashabiki wa
soma wa Barcelona ni kwamba
mshambuliaji huyo anaweza kuendelea
kucheza soka wakati kifungo hicho
kikiendelea.
Kikubwa ambacho mahakama imesisitiza ni
lazima alipe faini pauni million 1.7.
Baba yake mzazi, George Messi naye
amekumbana na adhabu hiyo pamoja na
faini ya pauni million 1.5.
Kifungo cha nyota huyo wa Argentina
pamoja na baba yake mzazi kwa sababu ya
kukwepa kodi kimeonyesha kiasi gani
serikali za nchi za Ulaya zilivyo makini
katika suala la kodi.
Wannit to watch Wimbledon online for free and came to this link. Wimbledon on Kodi finally I can watch it for free.
JibuFuta