wa zamani wa AC Milan na Chelsea,
Andriy Shevchenko kuwa meneja mpya
wa timu ya taifa lao. Shevchenko, 39,
aliyechezea timu ya taifa mara 111,
atajaza nafasi ya Mykhaylo Fomenko,
aliyeondoka baada ya taifa hilo
kuondolewa michuano ya Euro 2016,
hatua ya makundi.
Mcheza soka wa zamani huyu
Shevchenko alikuwa msaidizi wa
Fomenko pale Ukraine waliposhindwa
mechi zao zote dhidi ya Ujerumani,
Ireland Kaskazini na Poland. Mchezaji
huyo wa zamani wa Dynamo Kyiv,
aliyestaafu mwaka 2012, hajawahi
kufanya kazi kama meneja hapo awali.
Kwa timu ya taita yeye ndiye
anayeshikilia rekodi ya ufungaji mabao
timu ya taifa ya Ukraine na alikuwa
nahodha walipofuzu kwa fainali za
Kombe la Dunia 2006. Ametia saini
mkataba wa miaka miwili!
Chapisha Maoni