Beno Kakolanya aliyetimkia Yanga SC baada ya kuwa na msimu mzuri.
Timu hiyo ya Mbeya iliyomaliza nafasi ya nne msimu uliopita imewasaini pia wachezaji wawili wa
nafasi ya kiungo, Kazungu Nchinjayi kutoka
Majimaji FC na Mohammed Samatta kutoka JKT
Mgambo iliyoteremka daraja msimu uliopita. “Ni kweli nimesaini mkataba wa mwaka mmoja
katika timu ya Tanzania Prisons siku ya Jumatano ya Idd nikiwa na Samatta na Ntala,” anasema
Kazungu anayecheza namba 4 na 6.
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.