Shilole.
Akihojiwa na Clouds TV, Nuh Mziwanda amesema
mambo ya wawili hao hayamuhusu.
‘’Wale ni wanawake kwahiyo zile ni tofauti zao
kwahiyo siwezi kuingilia na siwezi kuongea
chochote.
"Yule demu mie nilimlipa pesa yake ya video
akafanya kazi yangu kamaliza masuala yake
yanayoendelea kimpango wake, kwahiyo siwezi
kuingilia na wala sitaki kufuatilia na wala sitaki
kujua kwasabbau nimeshamalizana naye.
"Yale ni maisha yake binafsi siwezi kuingilia’’
Alisema Nuh Mziwanda.
Chapisha Maoni