0

Kocha huyu anachukua nafasi iliyoachwa na
Gerardo "Tata" Martino aliyejiuzulu baada ya
kumalizika kwa michuano ya kombe la Copa
America.
AFA walimtangaza kocha huyo baada ya klabu ya
Sao Paulo kukubali kumuachia kocha huyo kwenda
kukinoa kikosi cha timu ya taifa ya Argentina.
Bauza, mwenye umri wa miaka 58,alikua kocha
mkuu mkuu wa klabu ya Sau Paulo toka mwaka
2015 na kuisaidia kufika nusu fainali ya michuano
ya Copa Libertadores.
Makocha waliokua wakipewa nafasi ya kukinoa
kikosi hicho ni Jorge Sampaoli Marcelo Bielsa



Posted Africa News Sports

Chapisha Maoni

 
Top