Mchezo huo uliopigwa katika dimba la
Daknamstadion ulikua ni wa mzunguko wa nne wa
ligi hiyo ya Ubelgiji.
Samata alifunga mabao yote mawili kipindi cha
kwanza huku kiungo Leon Bailey akifunga bao la
3.
Samatta sasa amefikisha jumla ya magoli manne
katika orodha ya wafungaji bora
Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2
Chapisha Maoni