0

Kiungo mkabaji wa Manchester United, Bastian
Schweinsteiger amesema klabu hiyo ndio ya
mwisho kuichezea barani Ulaya.
Tangu Jose Mourinho akabidhiwe klabu ya
Manchester United, maisha ya soka ya kiungo
huyo yamekuwa magumu kwani Mourinho
amempelekwa kikosi ya vijana huku akifanya
mazoezi peke yake.
Hatma ya mchezaji huyo haijajulikana bado ila ni
dhahiri hana nafasi kwenye kikosi cha Mourinho
kilichosheheni mastaa hasa nafasi ya kiungo.
Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 32 huenda
akatimkia Marekani



Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2

Chapisha Maoni

 
Top