0

Azam FC wamefanya mazoezi yao ya
mwisho kabla ya kuwavaa Mbabane
Swallows ya Swaziland katika mechi ya Kombe la Shirikisho.
Azam FC watakuwa na kazi ya kulinda
ushindi wao lakini kama haitoshi, watatakiwa angalau kupata bao la mapema ili kujiweka vizuri waweze kusonga mbele.
Azam FC ilimaliza mazoezi na kila kitu nchini Afrika Kusini na imewasili leo nchini Swaziland.



Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2

Chapisha Maoni

 
Top