0

Kikosi cha Timu ya Mbao Fc cha Jijini Mwanza
Kilichoifunga Timu ya Kagera Sugar bao 2-1 jioni
hii kwenye Mtanange wa Azam Sports Federation
Cup. Bao za mbao Fc zilifungwa kipindi cha
kwanza, Bao la kwanza dakika ya 42 kipindi cha
kwanza Salmin Hoza na kipindi cha pili dakika ya
84 Dickson Ambundo. Bao la pekee la Kagera
Sugar lilifungwa dakika ya 90. Ushindi huu
umewafanya Mbao Fc watangulie Nusu Fainali ya
Kombe hili la Shirikisho, Kesho Mjini Arusha
kutapigwa mchezo mmoja kati ya Madini Fc na
Simba ya Jijini Dar es salaam. Mshindi ataungana
na Mbao Fc. Picha zote na Faustine Ruta, Bukoba.



Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2

Chapisha Maoni

 
Top