KRC Genk imepata sare ya bao 1-1 dhidi ya Eupen katika mechi ya Ligi Kuu Ubelgiji hatua ya Play off.
Genk iko Kundi B katika hatua hiyo na
Mtanzania Mbwana Samatta amecheza kwa dakika zote 90 za mechi hiyo.
Bao la Genk limefungwa na Ruslan
Malinovsky katika dakika ya 20 na likadumu hadi mapumziko.
Wenyeji walisawazisha katika dakika ya 51 kupitia Luis Garcia kwa mkwaju wa penalti.
Chapisha Maoni