wake Barcelona, Madrid imeamka tena
kwenye La Liga baada ya kuitwanga
Derpotivo la Coruna kwa mabao 6-2.
Pamoja na kucheza bila ya Cristiano
Ronaldo, Madrid imeiangushia Derpotivo
kipigo hicho kikali ikiwa nyumbani.
James Rodrigues amefunga mabao mawili huku Alvaro Morata, Lucas Vazquez, Iscn na Casemiro kila mmoja akitupia moja na kutengeneza ushindi huo mkubwa wa ugenini.
Derpotivo nayo ilijitutumua na kupata
mabao mawili kupitia Florin Andone na
Joselu ingawa hayakusaidia kubadili
matokeo ya kuoata pointi tatu.
Chapisha Maoni