0
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Salum Mkemi amefunguliwa na mashitakn na Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB).
TPLB inamtuhumu Mkemi kutoa matamsha ya kuudhi dhidi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Mkemi anadaiwa kuwadhalilisha viongozi
wa TFF kwa madai kwamba alidai
amefikisha suala la viongozi wa kamati ya Saa 72 Takukuru. Hata hivyo, TFF na bodi ya ligi ziliendelea kukaa kimya bila ya kuchukua hatua hadi wadau walipoanza kulalamika kuhusiana na
kufungiwa kwa Msemaji wa Simba, Haji
Manara.
Baada ya hapo, inaonekana ndiyo TFF
imekurupuka sasa ikitaka kuona Mkemi
naye anachukuliwa natua "ikizuga" kupitia bosi ya ligi.


Barua ya kuitwa kwake hii hapa

Chapisha Maoni

 
Top