Zlatan Ibrahimovic amekataa mshahara
wake hadi atakapopona. Zlatan alisaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea Man United na anatakiwa kulipwa
pauni 250,000 kila wiki, yeye amesema
hataki mshahara hadi atakapopona.
Aliumia katika goti katika mechi dhidi ya
Anderlecht ya Ubelgiji na sasa atalazimika kukaa nje kwa miezi tisa
Chapisha Maoni