0
Ujerumani. Ni rasmi sasa Bayern Munich
wametwaa ubingwa wa Bundesliga msimu huu baada ya kuiadhibu Freiburg mabao 4-1 jana Jumamosi.
Ubingwa huo umempa kichaa kocha Carlo Ancelotti ambaye msimu huu kumekuwapo na ushindani mkali kwenye ligi hiyo.
Ancelotti aliwasifu wachezaji wake Xabi Alonso na Philipp Lahm kutokana na kukiongoza kikosi hicho jana kutwaa ubingwa.

Chapisha Maoni

 
Top