0
Klabu ya Dotmund imefunga pazia la
Bundersliga kwa kuifunga Werder Bremen mabao 4-3 jana Jumamosi huku wakimaliza nafasi ya tatu. Ushindi huo umewapa nafasi ya kufuzu mashindano ya Ligi ya Mabingwa mwakani.
Klabu hiyo ilikutana na mkasa wa kushambuliwa wachezaji waliokuwa kwenye basi wakati wakielekea kwenye mchezo wao wa kwanza wa robo fainali Ligi ya Mabingwa dhidi ya Monaco.
Mchezaji Marca Barta aliumia mkono na kufanyiwa upasuaji mdogo, hata hivyo mchezaji huyo alijumuika na wenzake jana kwenye mchezo wao wa mwisho na kufunga bao lake.

Chapisha Maoni

 
Top