0
Kocha wa Liverpool, Jurgen
Klopp akikimbia kushangilia
baada ya Adam Lallana
kuifungia timu hiyo bao la
tatu dakika ya 56 katika
ushindi wa 3-0 dhidi
ya Middlesbrough leo uwanja
wa Anfield kwenye mchezo
wa Ligi Kuu ya England hivyo
kujihakikishia nafasi ya nne
na kukata tiketi ya Ligi ya
Mabingwa. Mabao mengine
ya Liverpool yamefungwa
na Georginio Wijnaldum
dakika ya 45 na ushei na
Philippe Coutinho dakika ya
51 

Chapisha Maoni

 
Top