0
Nyota wa Barcelona, Lionel
Messi akisikitika baada ya
kukosa penalti dakika ya 70
timu yake ikishinda 4-2 dhidi
ya Eibar katika mchezo wa
mwisho wa La Liga Uwanja
wa Camp Nou. Mabao ya
Barca yamefungwa na David
Junker aliyejifunga dakika ya
63, Luis Suarez dakika ya 74
na Messi mawili, moja kwa
penalti dakika ya 75 na
lingine dakika ya 90 na
ushei, wakati ya wageni
yalifungwa na Takashi Inui
dakika za saba na 61 

Chapisha Maoni

 
Top