0
Mshambuliaji wa kimataifa wa
England, Harry Kane
akishangilia baada ya
kuifungia hat-trick Tottenham
katika ushindi wa 7-1 dhidi
ya wenyeji Hull City leo
kwenye mchezo wa Ligi Kuu
England Uwanja wa KCOM
hivyo kufanikiwa kumaliza
mfungaji bora wa ligi kwa
mabao yake 29. Kane
alifunga dakika za 11, 13 na
72 wakati mabao mengine ya
Spurs yamefungwa na Dele
Alli dakika ya 45 na
ushei, Victor Wanyama
dakika ya 69, Ben Davies
dakika ya 84 na Toby
Alderweireld dakika ya 87,
wakati la kufutia machozi la
Hull City limefungwa na Sam
Clucas dakika ya
66 

Chapisha Maoni

 
Top