akishangilia baada ya
kuifungia bao la kwanza
Manchester United dakika ya
15 katika ushindi wa 2-0
dhidi ya Crystal Palace
Uwanja wa Old Trafford leo
kwenye mchezo wa mwisho
wa Ligi Kuu ya England. Bao
la pili la United limefungwa
na Paul Pogba dakika ya 19
na United imemaliza nafasi
ya sita kwenye msimamo wa
Ligi

Chapisha Maoni