0
Wachezaji wa Chelsea
wakishangilia na Kombe lao
la ubingwa wa Ligi Kuu ya
England walilokabidhiwa
baada ya mechi dhidi ya
Sunderland wakishinda 5-1
Uwanja wa Stamford Bridge,
London. Mabao ya Chelsea
yamefungwa na Willian
dakika ya nane, Eden Hazard
dakika ya 61, Pedro dakika
ya 77, M. Batshuayi dakika
ya 90 na 90 na ushei 

Chapisha Maoni

 
Top