kikaweka kambi visiwani Zanzibar
kujiandaa na mchezo wa Fainali ya
Kombe la Shirikisho(Azam Sports
Federation Cup) dhidi ya Mbao FC
katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani
Dodoma.
Akizungumza kuhusu kambi hiyo
Makamu wa Rais wa Klabu ya Simba
Geofrey Nyange Kaburu amesema
Mara baada ya mchezo wa ligi dhidi
ya Mwadui FC watakaa na kujadili
kambi itakuwa wapi Lakini Zanzibar
Inaweza kuwa chaguo la kwanza.
Tutafanya Maandalizi mazuri.
-Ni kweli tumeanza mipango ya
kambi yetu ili kuhakikisha tunaiwekea
mazingira mazuri ya maandalizi ya
timu yetu, mechi hiyo ya FA itakuwa
ya umuhimu kwetu na nilazima
tufanye maandalizi mazuri tumekuwa
tukijaribu kujadili ni wapi timu hiyo
itapiga kambi na hayo tutayasema
rasmi baada ya kumaliza mchezo wa
ligi” amesema Nyange.
Ikumbukwe kwamba Simba walifuzu
katika Fainali kwa kuwatoa Azam Fc
na watakutana na Mbao Fc ambao
waliwavua Ubingwa Yanga SC katika
mchezo ambao utafanyika Mei 28
katika uwanja wa Jamuhuri ,Dodoma.

Chapisha Maoni