mkataba wa Mwaka mmoja na
Kampuni ya Michezo ya Bahati Nasibu
SportPesa, mkataba wenye Thamani
ya Shilingi Milioni 250.
Kwa Mujibu wa mkataba huo ambao
umesainiwa Jumanne Hii Katika Halfa
Maalumu iliyofanyika Jijini Dar es
Salaam, una Kipengele cha
kuongezeka baada ya Kukamilika Kwa
kipindi hicho cha Mwaka mmoja.
Akizungumza na vyombo vya Habari
Mkurugenzi wa Utawala wa SportPesa
Tanzania Abbas Tarimba Wanaamini
Singida United itakuwa timu yenye
ushindani katika msimu ujao wa Ligi
Kuu Soka Tanzania Bara.
-Kikubwa tunaamini Singida wataleta
Ushindani katika Ligi msimu ujao na
Mkataba wetu na Singida ni wa
mwaka Mmoja lakini unaweza
kuongezeka" Alisema Tarimba.
Simba na Yanga.
Mpaka sasa kampuni ya SportPesa
imekwisha ingia mkataba wa
kuvidhamini Vilabu vya Simba na
Yanga, Vilabu ambavyo vyote kwa
pamoja vimepata Kitita cha Takribani
Bilioni 5 kwa miaka 5.

Chapisha Maoni