
SportPesa wataendelea kubaki kwenye Ligi Kuu England baada ya kutangaza udhaminn na Everton, moja ya timu kubwa za ligi hiyo.
Udhamini huo ulitangazwa jana na kuifanya SportPesa kuwa wadhamini wapya watakaoonekana kwenye vifua vya wachezaji na mashabiki wa Everton kuanzia msimu ujao kwa kuwa mkataba huo unaanza Juni Mosi, mwaka huu.
Kwa hapa Tanzania, tayari SportPesa ni
wadhamini wa Simba SC.
Chapisha Maoni