Pamoja na kuwepo kwa taarifa kuwa siku za Gareth Bale ndani ya Real Madrid zinahesabiki, hata hivyo kocha Zinedine Zidane anaona nyota huyo hagusiki hivyo hawezi kuondoka kwa sasa.
Mchezaji mwenyewe anataka kuendelea kuwepo Estadio Santiago Bernabeu, baada ya kuonyesha mchango wake katika timu hiyo katika msimu uliopita.
Chapisha Maoni