Alexis Sanchez wa Chile akienda chini kudai penalti katika mchezo wa mwisho wa Kundi B Kombe la Mabara dhidi ya Australia leo Otkrytiye Arena mjini Moscow, Urusi timu hizo zikitoka sare ya 1-1. James Troisi alianza kuifungia Australia dakika ya 42, kabla ya Martin Rodriguez kuisawazishia Chile dakika ya 67
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni