Diego Costa akishangilia baada ya kuifungia Hispania bao ka pili dakika ya 37 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Macedonia usiku wa jana Uwanja wa Nacionalna Arena mjini Filip II Makedonski, Skopje kwenye mchezo wa Kundi G kufuzu Kombe la Dunia. David Silva alianza kuifungia Hispania dakika ya 15, kabla ya Stefan Ristovski kuisawazishia Macedonia dakika ya 66
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni