Andrea Belotti anayetakiwa na Manchester United kutoka Torino, akishangilia baada ya kuifungia Italia bao la pili dakika ya 52 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Kundi G kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Liechtenstein usiku wa jana Uwanja wa Dacia Arena, Udine. Belloti pia alimsetia Eder Martins kufunga la tatu dakika ya 74, wakati mabao mengine ya Azzuri yamefungwa na Lorenzo Insigne dakika ya 35, Fernando Bernardeschi dakika ya 83 na Manolo Gabbiadini dakika ya 92
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni