0
Kipa wa zamani wa England, David Seaman amesema anaamini Kocha Arsene Wenger ndiye chaguo sahihi kwa klabu hiyo, lakini ameshangazwa na bodi hiyo kumpa mkataba wakati huu wa usajili wa wachezaji.
Hata hivyo, alisema jambo hilo halipendezi kwa bodi hiyo kuchelewa kufanya uamuzi kwani itamuathiri kisaikolojia.
Alisema bodi hiyo imefanya uamuzi mzuri kumuongezea miaka miwili, lakini haukuwa mwafaka kwa mtu kama Wenger.
Alisema suala la kutafuta wachezaji wazuri halianzi papo kwa papo, hivyo inamaana Wenger huu ndio uda ambao ataanza kufikiria kuhusu usajili wakati wenzake wapo mbali zaidi.

Chapisha Maoni

 
Top