YAYA TOURE ASAINI MKATABA MPYA MAN CITY 23:15 Unknown 0 Sport Headline A+ A- Print Email Kiungo wa Manchester City, Yaya Toure amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea kuichezea klabu hiyo ya Uwanja wa Etihad aliyojiunga nayo mwaka 2010 kutoka Barcelona ya Hispania
Chapisha Maoni