0
MBEYA City leo Jumatatu imemsajili kiungo Bakari Masoud kwa mkataba wa miaka miwili na ameingia kambini moja kwa moja.
Bakari ambaye ni mchezaji huru aliichezea Simba katika mashindano ya Kombe la Sportpesa yaliyofanyika hivi karibu jijini Dar as Salaam ingawa Simba ilitolewa mapema.
Bakari amewahi kuzichezea timu za Yanga, Coastal Union, African Sports, PERM FC ya Malaysia, Fanja FC ya Oman na Free State japokuwa alikuwa kikosi cha pili.

Chapisha Maoni

 
Top