0

Hatimaye Wallace Karia ametangazwa kuibukamshindi wa kinyang’anyiro cha Urais wa Shirikisho la Soka nchini baada ya kuwabwaga wapinzani wake kwenye uchaguzi uliofanyika kwenye ukumbi wa St. Gasper mjini Dodoma jioni ya leo.
Karia ameibuka na ushindi wa jumla ya kura 95 akiwabwaga wapinzani wake sita kwa umbali mkubwa huku pia Michael Wambura naye akiibuka kuwa Makamu wa Rais


Chapisha Maoni

 
Top