0
Sadio Mane wa Liverpool akiruka juu kuwania mpira katikati ya wachezaji wa Porto usiku wa Jumanne katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya uliomalizika kwa sare ya 0-0 Uwanja wa Anfield. Liverpool inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 5-0 ilizozipata kwenye mchezo wa kwanza mjini Porto

Chapisha Maoni

 
Top