0
KLABU ya Hispania ya Real Madrid imepania kuipa Klabu ya Chelsea ya Uingereza, Paundi mil. 100 (Sh. bil. 300) ili kuwachukua golikipa Thibaut Courtois na kiungo Willian.
Kipa huyo raia wa Ubelgiji, amesema wazi anataka kurejea Madrid walio wanaye, licha ya kubakiza mwaka mmoja na klabu yake ya Chelsea.
Willian (2) alikuwa ajiunge na Barcelona wiki iliyopita lakini klabu hiyo ilishindwa kutoa kitita cha Paundi mil. 70 zilizotakiwa na Chelsea, hivyo ikaamua kumnunua winga wa Bordeaux, Malcom.

Chapisha Maoni

 
Top