0
Mfungaji wa bao pekee la Tottenham Hotspur, Georges-Kevin N'Koudou (kushoto) dakika ya 47 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya AC Milan alfajiri ya leo Uwanja wa U.S. Bank mjini Minneapolis, Minnesota, Marekani akimtoka Franck Kessie katika mchezo huo wa kirafiki wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa kujiandaa na msimu mpya

Chapisha Maoni

 
Top