![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhvuhz2UPV1jRJUu1TG2ZbRP0hu9SaKzIoa-Q5_FRk58gRUUWKjV5tHwP49Lt5GMdHmU102tqcE5I8KxkonJpUJfcQiIXwilJXM7EYZ8IlS7JAdcGSXmLT6XEPZbTWpZMk1aqaWSxS64XjF/s350/1421208271763.jpeg)
Mapinduzi akiiongoza Simba SC katika michezo mitano kati ya sita bila ya kupoteza.
Simba SC jana ilitwaa ubingwa huo katika uwanja wa Amani baada ya kuwafunga Mtibwa Sugar kwa
mikwaju ya penati 4-3 baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya bila kufungana.
Simba SC walionekana kuwa na iwezo wa kumaliza mchezo ndani ya dakika 90 lakini umahiri wa kipa Said Mohamed na kupoteza umakini kwa washambuliaji wa Simba SC kulipelekea dakika 90 kumalizika kwa bila kufungana.
Kwa upande wa Mtibwa Sugar jana walitengeneza nafasi mbili pekee ambazo nao walishindwa kuzitumia na muda mwingi wakitumia katika kuzia
huku wakipiga mipira mirfu ambayo Ame Ally alishindwa kuitendea haki.
Tuzo ya kipa bora wa mashindano imeenda kwa kipa wa Mtibwa Sugar Said Mohammed huku beki wa Mtibwa Sugar Salum Bonfe aktwa mchezaji bora
Chapisha Maoni