0

Mchezaji Eder ameeleza, “Cristiano
alinambia nitafunga bao la ushindi.
Alinipa nguvu na ari. Ikanifanya nifanye
kazi kwa bidii!” Mfungaji huyu wa bao la
ushindi Eder aliingizwa dakika ya 79,
historia yake ni kwamba alijiunga na
Swansea mwaka jana na kucheza mechi
15 bila kufunga na kisha kuhamia Lille,
na alikuwa hajawahi kuifungia Ureno bao
lolote.
Alitoboa kuwa Ronaldo alimpa mawaidha
wakati wa mapumziko wa dakika za
nyongeza 30. Akiwa na klabu, Ronaldo
ametwaa Uefa Championz Ligi mara 3 na
Tuzo ya Mchezaji Bora Duniani mara 3
lakini hii ni mara ya kwanza kubeba
kombe kwa nchi yake.
er akipozi na kombe hilo
Naye amesema, “Nina furaha sana.
Nimetafuta hili tangu 2004. Nilimwomba
Mungu anipe nafasi moja kwa sababu
tunastahili. Leo, bahati mbaya, niliumia,
lakini niliwaamini wachezaji wenzangu!”
Mwishoni, Ronaldo akiwa na bendeji
gotini, alisimama pembeni pamoja na
kocha wa Ureno, Fernando Santos,
wakiwahimiza wachezaji wao kukomaa
huku Ronaldo akinyoosha mikono akitoa
ishara kama kocha!



Posted Africa News Sports

Chapisha Maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top