0

Klabu ya Bundesliga inataka kuuza wachezaji
karibia 10, na hitaji la Julian Draxler kutaka
kuondoka kumeipa Arsenal nguvu ya kumfukuzia
Arsenal wapo tayari kutoa kitita cha euro milioni
60 kumsajili Julian Draxler na Wolfsburg huenda
wakavutiwa na dili hilo kwa mujibu wa Bild .
The report claims that up to 10 players could be
sold by the Bundesliga club this summer,
including their top stars.
Habari zinadai kuwa takribani wachezaji 10
watauzwa na klabu hiyo ya Bundesliga majira
haya ya joto, ikiwa ni pamoja na wachezaji wao
nyota.
Na pamoja na Wolfsburg kusisitiza kwamba
hawana mpango wa kumwachilia Draxler, Bild
linaamini kwamba ni swala la muda tu kabla ya
nyota huyo mwenye miaka 22 kushinikiza kutaka
kuondoka kwa sababu ya klabu hiyo kushindwa
kufuzu kushiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Na hiyo ndiyo sababu Wolfsburg wanaweza
kushawishiwa na ofa ya euro milioni 60 ya
Arsenal.
Imeripotiwa pia kwamba Andre Schurrle
anakaribia kutimkia Borussia Dortmund, wakati
Ricardo Rodriguez, Luiz Gustavo, Vieirinha, Daniel
Caligiuri, Bas Dost, Diego Benaglio na Max Kruse
wanaweza kuondoka pia.



Posted Africa News Sports

Chapisha Maoni

 
Top