Mshambuliaji nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ametangazwa kuwa
mwanasoka bora Ulaya.
Ronaldo ametangazwa kuwa mwanasoka bora wa Ulaya na kuwashinda wachezaji
wengine wawili ambao wote wanatokea
katika timu za jiji la Madrid nchini Hispania.
Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2
Chapisha Maoni