Willian akishangilia baada ya
kuifungia Chelsea bao la
kwanza katika ushindi wa 2-0
dhidi ya wenyeji Hull City leo
Uwanja wa KCOM mjini Hull
kwenye mchezo wa Ligi Kuu
ya England leo. Bao lingine
la Chelsea limefungwa na
Diego Costa dakika ya
67
Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.