Licha ya ghasia zilizozuka kufuatia goli la
mkono la Tambwe maisha yanaendelea na
vijembe pia Mashabiki na wadau wengine wa soka
wameendelea kutupia maoni na fikra zao kwenye mitandao ya kijamii.
Zitto Kabwe, Mohammed Dewji MO wote walikuwa na yao ya kusema kupitia mtandao wa
twitter.
Mkono wa Tambwe washindwa kuibeba Yanga
Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.