0

Tottenham Hotspurs imeingia katika rekodi mpya
msimu huu baada ya kiwa timu ya kwanza
kuifunga Manchester City inayofundishwa na Pep
Guadiola ikiibuka na ushindi wa bao 2-0.
Mchezo huo uliopigwa katika dimba la White Hart
Laine ni wa kwanza kwa Man City kufungwa katika
michuano yote msimu huu huku Tottenham
wakibaki kuwa timu pekee ambayo haijafungwa
msimu huu katika ligi kuu ya England.
Kolorov alijifunga wakati akiokoa mpira wa krosi ya
Danny Rose na kuipatia Spurs bao la kwanza kabla
ya Delle Alli hajafunga bao la pili huku Eric Lamella
akikosa penati
Kwa matokeo hayo Spurs inapanda mpaka nafasi
ya pili ikifikisha pointi 17 pointi moja nyuma ya
Man City wanaoongoza.



Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2

Chapisha Maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top