0
Terry akishangilia goal baada ya kufunga katika mchezo huo. Katika picha hapo chini ni Wachezaji wa Chelsea wakimrusha juu koch wao,
Antonio Conte kwa furaha
baada ya kujihakikishia
ubingwa wa Ligi Kuu ya
England kufuatia ushindi wa
4-3 dhidi ya Watford usiku
wa Jumatatu Uwanja wa
Stamford Bridge. Mabao ya
Chelsea yalifungwa na John
Terry dakika ya 22, Cesar
Azpilicueta dakika ya 36,
Michy Batshuayi dakika ya
49 na Cesc Fabregas dakika
ya 88 wakati ya Watford
yamefungwa na Etienne
Capoue dakika ya 24, Daryl
Janmaat dakika ya 51
na Stefano Okaka dakika ya
74. Chelsea imefikisha pointi
90 baada ya kucheza mechi
37 na sasa rasmi ni
mabingwa wapya, wakirithi
taji lililoachwa wazi na
Leicester City 

Chapisha Maoni

 
Top