ya Jijini Dar es Salaam, Jumanne ya
Mei 16 imekutana na Mfanyabiashara
na Mwanachama wa Klabu hiyo
Mohammed Dewji 'MO' katika kikao
cha pamoja.
Katika kikao hicho suala la
changamoto ya mkataba wa Sportpesa
na masuala mengine yalijadiliwa na
kutafutiwa ufumbuzi.
Taarifa Ya Klabu hiyo kwa Wanachama
na wapenzi wa Timu ya Simba
imesema kuwa tofauti zote
zilizoonekana siku chache zilizopita
zimezikwa rasmi katika Mkutano huo.
Kauli Moja.
Taarifa Hiyo imeongeza kwamba kwa
Sasa uongozi wa Klabu na mfadhili
wetu Mohamed Dewji MO ni kitu
kimoja na Kwa pamoja watapambana
kuhakikisha wanashinda mechi ya
mwisho ya Ligi Kuu dhidi ya Mwadui
na mechi ya fainali ya Kombe la
Shirikisho dhidi ya Mbao FC. Simba
Nguvu moja.

Chapisha Maoni