Olivier Giroud wa Ufaransa akishangilia baada ya kufunga mabao matatu peke yake dakika za sita, 13 na 69 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Paraguay kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku wa jana Uwanja wa Roazhon Park mjini Rennes, Ufaransa. Mabao mengine ya Ufaransa yamefungwa na Moussa Sissoko dakika ya 76 na Antoine Griezmann dakika ya 77
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni