0
Askari wa usalama barabarani,
aliyejulikana kwa jina la Riziki, WP 2806
Cpl Riziki, akiwa hoi baada ya kugongwa
na daladala aina ya DCM wakati akiwa
katika harakati za kutimiza majukumu ya
kazi eneo la Mbagala Rangi Tatu, leo
asubuhi.

Habari zinasema kuwa baada ya ajali hiyo, askari huyo alikimbizwa katika hospitali ya Temeke na baadaye kuhamishiwa hospitali ya Muhimbili na hali yake inaendelea vizuri.


Chapisha Maoni

 
Top