Baada ya jana mwanadada wema sepetu kupewa zawaidi ya Gari aina ya NISANI -
Murano....ilivumu kuwa iliilikuwa zuga
tu..kutokana na kile kinachodaiwa ni
kutafuta KIKI...Sasa leo kupitia ukurasa
wake wa INSTAGRAM manager wa
mwanadada huyu, Martin Kadinda
baby @diamondplatnumz this BMW is
yours yes…. Suprised kuona jina kwa
kadi?? I meant it… this car came from
kazi ndogo tufanyazo na support kubwa
ya watu who wish you the best always…
peke yangu nisingeweza bila support yao.
One thing you should know nimejitolea
kufanya kazi na wewe
because naamini kwa tanzania ur my
number one celebrity and my wish is to
see u living as a truly superstar…. Make
my dreams come true basi.. Wema mimi
natembelea vimeo lakini siwezi kukubali
wewe ushuke huku.. Wema its hight time
u stand and this is high time to
understand kuwa wewe ni star and u
deserve the best from ya fame…!! People
loves u so much….."
Chapisha Maoni